Karim Bencherifa

Karim Bencherifa (alizaliwa 15 Februari 1968) ni mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu kutoka Moroko ambaye kwa sasa anaifundisha timu ya taifa ya wanawake ya Singapore. Bencherifa ameifundisha timu katika nchi yake ya Morocco, Malta, Brunei, Singapore, India na Jamhuri ya Guinea. Ameipokea sehemu ya mafunzo yake nchini Ujerumani.

Rekodi ya ukufunzi ya I-League

Ilisasishwa tarehe 10 Juni 2014.

TimuKuanziaMwishoMatokeo
MWSPAsilimia ya ushindi
Mohun Bagan1 Julai 20084 Februari 2010

Kigezo:WDL

Salgaocar1 Julai 2010[1][2]19 Oktoba 2012

Kigezo:WDL

Mohun Bagan19 Oktoba 201229 Aprili 2014

Kigezo:WDL

Pune9 Juni 20142015

Kigezo:WDL

Jumla&0000000000000137.000000137&0000000000000066.00000066&0000000000000035.00000035&0000000000000036.00000036&0000000000000048.18000048.18

Heshima

Kama kocha

Salgaocar

  • I-League: 2010–11[3]
  • Federation Cup: 2011

Mohun Bagan

  • Calcutta Football League: 2007–08

Binafsi

  • FPAI Syed Abdul Rahim Award: 2010–11

Marejeo

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Karim Bencherifa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.