Karne ya 8 KK
karne
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |Milenia ya 2 KK |Milenia ya 1 KK |Milenia ya 1 |►
◄ |Karne ya 10 KK |Karne ya 9 KK |Karne ya 8 KK |Karne ya 7 KK |Karne ya 6 KK |►
Karne ya 8 KK (= kabla ya Kristo) ni kipindi cha miaka mia kuanzia tarehe 1 Januari 800 KK na kuishia tarehe 31 Desemba 701 KK.
Wakati wa karne ya 8 KK
Matukio
- 753 KK (21 Aprili): tarehe ya kimapokeo ya uanzishaji wa mji wa Roma
- 740 KK: Ahazi anaanza kutawala ufalme wa Yuda.
- 734 KK: Wagiriki wa Korintho wanaanzisha Sirakusa katika kisiwa cha Sicilia
- 727 KK: Babuloni inajikomboa kutoka utawala wa Waashuru.
- 722 KK: Ufalme wa Israeli unakomeshwa na mfalme wa Waashuru Sargon II.
- 704 KK: Senakeribu anahamishia makao makuu ya Assyria huko Ninawi.
- 700 KK hivi: Utunzi wa Upanishad, kitabu kitakatifu cha Uhindu.
Watu
- Nabii Amosi katika Israeli kaskazini
- Nabii Hosea katika Israeli kaskazini
- Nabii Isaya huko Yerusalemu
- Nabii Mika katika ufalme wa Yuda
Viungo vya nje
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Karne ya 8 KK kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz