Kasilda

Kasilda (Toledo, Hispania, 950 - Briviesca, Hispania, 1050[1]) alikuwa bikira Mwislamu, binti Yahya ibn Ismail al-Mamun, mfalme wa Toledo.

Mt. Kasilda, mchoro wa Francisco de Zurbarán.

Baada ya kuzoea kuwasaidia kwa huruma Wakristo waliofungwa gerezani[2] , alibatizwa huko Burgos akaishi kama mkaapweke hadi mwisho wa maisha yake marefu[3].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 9 Aprili[4].

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

  • Concha Espina, Casilda de Toledo (Madrid: Biblioteca nueva, 1940)

Viungo vya nje

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.