Kigayo
Kigayo ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wagayo kwenye kisiwa cha Sumatra. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kigayo imehesabiwa kuwa watu 300,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigayo iko katika kundi la Kisumatra-Kaskazini-Magharibi. Wengine wanaiangalia lugha ya Kialas kuwa lahaja ya Kigayo.
Viungo vya nje
- lugha ya Kigayo kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kigayo Archived 7 Oktoba 2014 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kigayo katika Glottolog
- lugha ya Kigayo kwenye Ethnologue
![]() | Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kigayo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoAina za manenoKumaShairiKamusi za KiswahiliDiamond PlatnumzMaumivu ya kiunoInsha ya wasifuSimba S.C.Fasihi simuliziIdd el HajjTanzaniaOrodha ya Watakatifu WakristoHifadhi ya mazingiraMikoa ya TanzaniaMaalum:MabadalikoyaKaribuniKisaweNembo ya TanzaniaMapenziJohn Raphael BoccoMapenzi ya jinsia mojaTendo la ndoaVivumishiUandishi wa ripotiOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMazingiraMpira wa miguuMshororoVitendawiliOrodha ya makabila ya TanzaniaMadawa ya kulevyaMasoud KipanyaKiswahiliNahauMofimuVita Kuu ya Pili ya Dunia