Kiindonesia

Kiindonesia (kwa Kiindonesia: Bahasa Indonesia) ni lugha ya Kiaustronesia inayozungumzwa na watu milioni 23 (uliotokea Kiindonesia wasemaji) hasa nchini Indonesia. Idadi ya wasemaji wa lugha za Kiindonesia ni takriban milioni 240.

Kiindonesia
lugha, lahaja sanifu, Lugha hai, literary language
Sehemu yaKimalay Hariri
Native labelBahasa Indonesia Hariri
Jina fupiIndonesian Hariri
Ameitwa baada yaIndonesia Hariri
NchiIndonesia Hariri
Indigenous toIndonesia Hariri
Coordinate location6°10′30″S 106°49′39″E Hariri
Linguistic typologysubject–verb–object, lugha ambishi bainishi, zero-marking language, noun-adjective, synthetic language Hariri
Mfumo wa uanadishialfabeti ya Kilatini Hariri
Language regulatory bodyAgency for Language Development and Cultivation Hariri
Ethnologue language status1 National Hariri
Studied inindonesiology Hariri
Described at URLhttps://afbo.info/languages/42 Hariri
Related categoryCategory:Indonesian pronunciation Hariri
Wikimedia language codeid Hariri
Map
KiindonesiaKiswahili
Selamat siang!Hujambo!
Apa kabar?Habari yako?
YaNdiyo
TidakHapana
Siapa nama anda?Jina lako ni nani?
Anda berasal dari mana?Unatoka wapi?
Bisa bahasa Inggris?Unazungumza kiingereza?
Terima kasihAsante
satumoja
duambili
tigatatu
empatnne
limatano
enamsita
tujuhsaba
delapannane
sembilantisa
sepuluhkumi

Viungo vya nje