Kilola
Kilola ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Walola kwenye visiwa vidogo vitatu upanda wa Mashariki wa kisiwa cha Kobroor. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kilola imehesabiwa kuwa watu 900. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilola iko katika kundi la Kiaru.
Viungo vya nje
- lugha ya Kilola kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kilola Archived 3 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kilola katika Glottolog
- lugha ya Kilola kwenye Ethnologue
![]() | Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kilola kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoAina za manenoKumaShairiKamusi za KiswahiliDiamond PlatnumzMaumivu ya kiunoInsha ya wasifuSimba S.C.Fasihi simuliziIdd el HajjTanzaniaOrodha ya Watakatifu WakristoHifadhi ya mazingiraMikoa ya TanzaniaMaalum:MabadalikoyaKaribuniKisaweNembo ya TanzaniaMapenziJohn Raphael BoccoMapenzi ya jinsia mojaTendo la ndoaVivumishiUandishi wa ripotiOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMazingiraMpira wa miguuMshororoVitendawiliOrodha ya makabila ya TanzaniaMadawa ya kulevyaMasoud KipanyaKiswahiliNahauMofimuVita Kuu ya Pili ya Dunia