Kiormuri
Kiormuri ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Pakistan inayozungumzwa na Waormuri. Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kiormuri imehesabiwa kuwa watu 6000. Pia kuna wasemaji wachache nchini Afghanistan. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiormuri kiko katika kundi la Kiirani cha Magharibi.
Viungo vya nje
- lugha ya Kiormuri kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiormuri
- lugha ya Kiormuri katika Glottolog
- lugha ya Kiormuri kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiormuri kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoAina za manenoKumaShairiKamusi za KiswahiliDiamond PlatnumzMaumivu ya kiunoInsha ya wasifuSimba S.C.Fasihi simuliziIdd el HajjTanzaniaOrodha ya Watakatifu WakristoHifadhi ya mazingiraMikoa ya TanzaniaMaalum:MabadalikoyaKaribuniKisaweNembo ya TanzaniaMapenziJohn Raphael BoccoMapenzi ya jinsia mojaTendo la ndoaVivumishiUandishi wa ripotiOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMazingiraMpira wa miguuMshororoVitendawiliOrodha ya makabila ya TanzaniaMadawa ya kulevyaMasoud KipanyaKiswahiliNahauMofimuVita Kuu ya Pili ya Dunia