Kitirahi
Kitirahi ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Afghanistan inayozungumzwa na Watirahi. Idadi ya Watirahi imehesabiwa kuwa watu 5000 lakini 100 wao tu waliweza kuongea lugha yao ya asili. Wote wengine walibadilisha lugha na kutumia Kipashto, yaani lugha ya Kitirahi imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kitirahi iko katika kundi la Kiaryan.
Viungo vya nje
- lugha ya Kitirahi kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kitirahi
- lugha ya Kitirahi katika Glottolog
- lugha ya Kitirahi kwenye Ethnologue
![]() | Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kitirahi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoAina za manenoKumaShairiKamusi za KiswahiliDiamond PlatnumzMaumivu ya kiunoInsha ya wasifuSimba S.C.Fasihi simuliziIdd el HajjTanzaniaOrodha ya Watakatifu WakristoHifadhi ya mazingiraMikoa ya TanzaniaMaalum:MabadalikoyaKaribuniKisaweNembo ya TanzaniaMapenziJohn Raphael BoccoMapenzi ya jinsia mojaTendo la ndoaVivumishiUandishi wa ripotiOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMazingiraMpira wa miguuMshororoVitendawiliOrodha ya makabila ya TanzaniaMadawa ya kulevyaMasoud KipanyaKiswahiliNahauMofimuVita Kuu ya Pili ya Dunia