Kitsat

Kitsat (au Kihuihui) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Uchina inayozungumzwa na Watsat. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kitsat imehesabiwa kuwa watu 4000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitsat iko katika kundi la Kichamiki.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitsat kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.