Koloman wa Stockerau

Koloman wa Stockerau (pia: Colmán, Kálmán, Colman au Colomannus; Ireland karne ya 10 – Stockerau, karibu na Vienna, Austria, 18 Oktoba 1012) alikuwa Mkristo ambaye, akielekea Nchi Takatifu kwa hija, aliteswa na kuuawa akidhaniwa ni mpelelezi[1].

Sanduku la Mt. Koloman katika kanisa la abasia ya Melk.

Tangu kale anaheshimiwa na madhehebu mbalimbali kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake ni tarehe 17 Julai[2].

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

"Coleman", by Aidan Breen, Dictionary of Irish Biography, page 696, volume two, 2009.

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.