Landeriki wa Paris

(Elekezwa kutoka Landeriko)

Landeriki wa Paris (kwa Kifaransa: Landry; alifariki Paris, Ufaransa, 656 hivi) alikuwa askofu wa ishirini na nane wa mji huo kuanzia mwaka 650 hadi kifo chake.

Sanamu ya Mt. Landeriko, Paris, Ufaransa.

Ili kusaidia fukara wakati wa njaa aliuza hata vyombo vya ibada[1] na kujenga hospitali[2] karibu na kanisa kuu[3].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 10 Juni[4].

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

  • François De Vriendt, Saint Landry, évêque de Paris, dans Dictionnaire d'histoire et de géographie ecclésiastiques, t. 30, Paris, 2008, col. 289-292. (Kifaransa)

Viungo vya nje

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.