Lugha za Kimande
Lugha za Kimande zinaunda kundi la lugha ambazo zinazungumzwa katika nchi nyingi ya Afrika ya Magharibi, kati ya Gambia na Nijeria.
Wasemaji wa lugha hizo wanazidi milioni thelathini. Lugha za kundi hilo ni Kimandinka, Kisoni, Kibambara, Kibissa, Kijula, Kikagoro, Kibozo, Kimende, Kisusu, Kiyakuba, Kivai, na Kiligbi.
Viungo vya nje
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Lugha za Kimande kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz