Lupo wa Lyon

Lupo wa Lyon (alifariki Lyon, leo nchini Ufaransa, 540 hivi[1]) alikuwa askofu wa 25 wa mji huo[2] baada ya kuishi kama mkaapweke[3][4].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 24 Septemba[5].

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

  • Jean-Charles Didier, Lupo, vescovo di Lione, santo, in «Bibliotheca Sanctorum», vol. VIII, coll. 387-388

Viungo vya nje

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.