24 Septemba

tarehe
Ago - Septemba - Okt
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
2930
Kalenda ya Gregori

Tarehe 24 Septemba ni siku ya 267 ya mwaka (ya 268 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 98.

Matukio

Waliozaliwa

Waliofariki

Sikukuu

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Anatalo wa Milano, Andoki, Tirso na Felisi, Rustiko wa Clermont, Lupo wa Lyon, Jeradi Sagredo, Antonio Gonzalez, Pasifiko wa San Severino n.k.

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 24 Septemba kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.