Makari wa Fayum
Makari wa Fayum (alifariki Antinoe, Misri, 305 hivi) alikuwa padri aliyefia imani yake pamoja na Wakristo wengine 3687 wakati wa dhuluma ya kaisari Dioklesyano[1].
Tangu kale wote hao wanaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama watakatifu wafiadini.
Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 25 Septemba.
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
- Holweck, F. G. A Biographical Dictionary of the Saint. St. Louis, MO: B. Herder Book Co. 1924.
- Orlandi, T. "Ter and Erai, Saints." Claremont Coptic Encyclopedia. Claremont: Claremont Colleges. 1991
Viungo vya nje
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz