25 Septemba

tarehe
Ago - Septemba - Okt
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
2930
Kalenda ya Gregori

Tarehe 25 Septemba ni siku ya 268 ya mwaka (ya 269 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 97.

Matukio

Waliozaliwa

Waliofariki

Sikukuu

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Kleofa, Firmini wa Amiens, Paulo, Tata na wanao, Solemni wa Chartres, Prinsipi wa Soissons, Aunakari n.k.

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 25 Septemba kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.