Memi wa Chalons

Memi wa Chalons (pia: Memmius, Memmie, Menge, Meinge; alifariki 300 hivi[1]) alikuwa askofu wa kwanza wa mji huo, leo nchini Ufaransa[2][3].

Sanamu yake.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 5 Agosti[4].

Tazama pia

Tanbihi

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.