5 Agosti

tarehe
Jul - Agosti - Sep
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031
Kalenda ya Gregori

Tarehe 5 Agosti ni siku ya 217 ya mwaka (ya 218 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 148.

Matukio

Waliozaliwa

Waliofariki

Sikukuu

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu ya kutabaruku Basilika kuu la Bikira Maria, na za watakatifu Memi wa Chalons, Paride wa Teano, Kasiani wa Autun, Nona, Emigdi, Venansi wa Viviers, Viatori wa Sologne, Oswadi wa Northumbria, Margerita wa San Severino n.k.

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 5 Agosti kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.