Mikoa na wilaya za Uajemi

Mikoa na wilaya za Uajemi ni vitengo vya utawala wa nchi hiyo. Uajemi imegawiwa kwa mikoa 30 inayoitwa kwa Kifarsi ostān ( استان wingil استان‌ها ostānhā). Kila mmoja huwa na makao makuu yake ambayo kwa kawaida yako kwenye mji mkubwa wa mkoa na kuitwa مرکز markaz au kitovu cha mkoa. Mkuu wa mkoa anaitwa ostandar anateuliwa na waziri wa mambo ya ndani kwa kibali cha halmashauri ya mawaziri. Mikoa hugawiwa kwa wilaya zinazoitwa "shahrestan".

Ramani ya mikoa na wilaya za Uajemi

Jedwali la mikoa ya Uajemi

Mkoa (ostan)Makao
makuu
(merkezi)
Eneo
(km²)[1]
Idadi ya
wakazi[2]
Msongamano
wa watu
(idadi kwa km²)
Idadi ya wilaya
(shahrestan)
mkoani
Ardabil[3]Ardabil17,8001,257,62470.79
Azarbaijan MasharikiTabriz45,6503,500,18376.719
Azarbaijan MagharibiUrmia[4]37,4372,949,42678.814
Bushehr[5]Bushehr22,743816,11535.99
Chahar Mahaal na Bakhtiari[6]Shahrekord16,332842,00251.66
FarsShiraz122,6084,385,86935.823
GuilanRasht14,0422,410,523171.716
Golestan[7]Gorgan20,1951,637,06381.111
Hamadan[8]Hamadan19,3681,738,77289.88
Hormozgan[9][10]Bandar Abbas70,6691,314,66718.611
Ilam[8]Ilam20,133545,09327.17
Isfahan[11]Isfahan107,0294,454,59541.621
KermanKerman180,8362,432,92713.514
Kermanshah[12]Kermanshah[12]24,9981,938,06077.513
Khorasan Kaskazini[13]Bojnourd28,434786,91827.76
Khorasan Razavi[13]Mashhad144,6815,202,77036.019
Khorasan Kusini[13]Birjand69,555510,2187.34
KhuzestanAhvaz64,0554,345,60767.818
Kohgiluyeh na Boyer-Ahmad[14][15]Yasuj15,504695,09944.85
Kurdistan[16]Sanandaj29,1371,574,11854.09
Lorestan[14]Khorramabad28,2941,758,62862.29
Markazi[17][11]Arak29,1301,361,39446.710
MazandaranSari23,7012,818,831118.915
Qazvin[18]Qazvin15,5491,166,86175.05
Qom[19]Qom11,5261,064,45692.41
Semnan[17][11]Semnan97,491589,5126.04
Sistan na Baluchistan[20]Zahedan181,7852,290,07612.68
Teheran[21]Tehran18,81412,150,742645.813
Yazd[6][22]Yazd129,285958,3187.410
Zanjan[16][11]Zanjan21,773970,94644.67
IranTehran1,628,55468,467,41342.0324

Marejeo

Viungo vya Nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu: