Morandi wa Cluny

Morandi wa Cluny, O.S.B. (Worms, Ujerumani, 1050 hivi; Altkirch, leo nchini Uswisi, 1115), alikuwa padri ambaye, baada ya kuhiji Santiago de Compostela (Hispania), alijiunga na monasteri ya Cluny (Ufaransa).

Morandi alitumwa na abati Hugo wa Cluny kwanza Auvergne, halafu karibu na Basel alipotawa hadi mwisho wa maisha yake[1].

Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 3 Juni[2].

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

  • G.M. Cantarella, I monaci di Cluny, Einaudi, Torino, 1997;
  • J. Huizinga, L'autunno del Medioevo, Newton-Compton, Roma, 1997;
  • J. Le Goff, L'uomo medievale, Laterza, Bari, 1999;
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.