3 Juni

tarehe
Mei - Juni - Jul
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
2930
Kalenda ya Gregori

Tarehe 3 Juni ni siku ya 154 ya mwaka (ya 155 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 211.

Matukio

Waliozaliwa

Waliofariki

Sikukuu

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Karolo Lwanga na wenzake, Sesili wa Karthago, Hilari wa Carcassonne, Klotilda malkia, Lifardi, Oliva wa Anagni, Kevin wa Glendalough, Jenesi wa Clermont, Isaka wa Cordoba, Davini wa Lucca, Morandi wa Cluny, Kono wa Diano, Yohane Grande, Petro Dong n.k.

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 3 Juni kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.