Mosyo wa Bizanti

Mosyo (kwa Kigiriki: Μώκιος; alifariki Bizanti, leo Istanbul, nchini Uturuki, 288/295) alikuwa padri mwenye asili ya Roma aliyeuawa kwa sababu ya imani yake ya Kikristo katika dhuluma ya kaisari Dioklesyano [1][2].

Mt. Mosyo katika mozaiki.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 11 Mei[3][4].

Tazama pia

Tanbihi

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.