Mto Simiyu

Mto Simiyu ni mto wa Tanzania kaskazini ambao maji yake yanaingia katika ziwa Viktoria na hatimaye yanaelekea Bahari ya Kati kupitia mto wa Naili. Mdomo wake uko karibu na Magu Mjini. Tawimto muhimu ni mto Duma.

Mto Simiyu
Chanzokatika mbuga wa Serengeti
Urefu1680
Kimo cha chanzo1135 m
Tawimito upande wa kuliaDuma
Mkondo0- 208
Eneo la beseni10800 km²
Miji mikubwa kando lakeMagu Mjini

Mkoa ambapo unapitia unapata jina kutoka kwake: Mkoa wa Simiyu.

Hidrometria

Kiasi cha maji yanayopita katika mto huu unabadilika kimajira kutegemeana na kiasi cha mvua. Vipimo viko kama / s (1999–2004).

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje