Mkoa wa Simiyu

kanda ya Ziwa, Tanzania

Mkoa wa Simiyu ni kati ya mikoa 31 ya Tanzania, wenye postikodi namba 39000 [1]. Ulianzishwa rasmi Machi 2012 kwa kumega mkoa wa Shinyanga upande wa mashariki[2].

Mahali pa mkoa nchini Tanzania.

Makao makuu yako Bariadi.

Wakazi

Kadiri ya sensa ya mwaka 2022, mkoa una wakazi 2,140,497 [3] kutoka 1,584,157 wa mwaka 2012, [4] walipokuwa wameongezeka 1.8% kwa mwaka katika miaka 2002-2012[4].

Msongamano wa watu ulikuwa 63 kwa kilometa mraba.[4]

Kabila kubwa ni lile la Wasukuma.

Wilaya

Mkoa huo mpya una wilaya 6 zifuatazo: Bariadi Mjini, Bariadi, Busega, Maswa, Meatu, Itilima.

Majimbo ya bunge

Wakati wa uchaguzi mkuu wa Tanzania mwaka 2015 mkoa huu ulikuwa na majimbo ya uchaguzi yafuatayo:

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje


Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Simiyu bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.