Oum Hadjer

Oum Hadjer ni mji uliopo katika mkoa wa Batha nchini Chad.

Mwanamume wa Chad 2019 akinywa maji machafu kutoka kwenye hifadhi ya mto Batha huko Oum-Hadjer
Mwanamume wa Chad 2019 akinywa maji machafu kutoka kwenye hifadhi ya mto Batha huko Oum-Hadjer

Mwaka 2009 idadi ya watu ilikadiriwa kuwa 26,552 [1].

Tazama pia

Tanbihi

Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Oum Hadjer kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.