Papa Eutychian

Papa Eutychian alikuwa Papa kuanzia tarehe 4 Januari 275 hadi kifo chake tarehe 7 Desemba 283[1]. Alitokea Luni, Toscana, Italia[2].

Mt. Eutikiani.

Alimfuata Papa Felisi I akafuatwa na Papa Kayo.

Hakuna habari nyingi za hakika juu ya maisha na kazi yake[3].

Hata hivyo, tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake ni tarehe 8 Desemba[4].

Tazama pia

Maandishi yake

Tanbihi

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Eutychian kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.