Papa Evaristus
Papa Evaristus (pia: Aristus) alikuwa Papa kwa miaka tisa kuanzia takriban 96/99 hadi kifo chake takriban 108[1]. Alikuwa na asili ya Ugiriki[2].
Alimfuata Papa Klementi I akafuatwa na Papa Alexander I[3].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi[4] na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz