Papa Felix IV
Papa Felix IV (490 hivi - 20/22 Septemba 530) alikuwa Papa kuanzia tarehe 12 Julai 526 hadi kifo chake[1]. Alitokea Campania, Italia[2]. Baba yake aliitwa Castorius.
Alimfuata Papa Yohane I akafuatwa na Papa Bonifasi II.
Alichaguliwa kwa kumridhisha mfalme Theodoriko Mkuu akaweza kupata kwake fadhili mbalimbali kwa Kanisa Katoliki[3]. Mfalme alipofariki mwaka uleule, Felix aliweza kuendesha Kanisa kwa uhuru zaidi[4].
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.
Tazama pia
Maandishi yake
Tanbihi
Viungo vya nje
- Kuhusu Papa Felix IV katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki.
- Fontes Latinae de papis usque ad annum 530
- Liber pontificalis
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Felix IV kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz