Piamun

Piamun (aliishi katika karne ya 4) alikuwa bikira wa huko Misri aliyeshika maisha ya kitawa bila kuhama nyumba ya mama yake.

Alifunga kila siku hadi usiku akapewa karama ya unabii.

Kwa sala zake alipatanisha vijiji viwili.

Habari zake ziliandikwa na Palladius.

Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 3 Machi.

Tazama pia

Tanbihi

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.

{