Prospa wa Reggio

Prospa wa Reggio (alifariki Reggio nell'Emilia, Italia, 25 Juni 466 hivi), alikuwa askofu wa mji huo, inasemekana kwa miaka 22.

Mchoro wa ukutani wa karne ya 18 huko Rattenberg (Tirol), Austria.

Hakuna habari nyingi za maisha yake isipokuwa kwamba alikuwa amejaa upendo[1].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 25 Juni[2].

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.