Richadi Gwyn

Richadi Gwyn (Llanidloes, Montgomeryshire[1], 1537 hivi - Wrexham, 15 Oktoba 1584) alikuwa mshairi wa Wales aliyeuawa na serikali ya Uingereza iliyokuwa imekataza Ukatoliki nchini [2][3].

Picha takatifu ya Mt. Richadi katika kanisa kuu la Wrexham.

Papa Paulo VI akamtangaza mtakatifu tarehe 25 Oktoba 1970.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 17 Oktoba [4].

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.