Salerno
Salerno ni mji wa Italia katika mkoa wa Campania.
Salerno | |
Majiranukta: 40°41′00″N 14°56′00″E / 40.68333°N 14.93333°E | |
Nchi | Italia |
---|---|
Mkoa | Campania |
Wilaya | Salerno |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 146,045 |
Tovuti: www.comune.salerno.it |
Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao 150,000.
Mji upo mita 4 juu ya usawa wa bahari na ni maarufu kwa chuo kikuu cha utabibu ambacho ni kati ya vyuo vikuu vya zamani zaidi duniani.
Tazama pia
Marejeo
Viungo vya nje
- (Kiitalia) Tovuti rasmi
Makala hii kuhusu maeneo ya Italia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Salerno kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz