Salvio wa Amiens

Salvio wa Amiens (pia Salvius, Sauve, Salin, Salinius, Salve, Salvinus, Sauflieu, Saulve, Sauvre; alifariki Amiens, leo nchini Ufaransa, 615 hivi) alikuwa askofu wa tisa wa mji huo[1].

Sanamu yake.

Kabla ya hapo alianzisha monasteri na kuwa abati wake[2].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 28 Oktoba[3].

Tazama pia

Tanbihi

Vianzo

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.