28 Oktoba

tarehe
Sep - Oktoba - Nov
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031
Kalenda ya Gregori

Tarehe 28 Oktoba ni siku ya 301 ya mwaka (ya 302 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 64.

Matukio

Waliozaliwa

Waliofariki

Sikukuu

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha sikukuu ya watakatifu mitume Simoni Mkananayo na Yuda Tadayo, lakini pia kumbukumbu za watakatifu Feruchi wa Mainz, Fedele wa Como, Vinsenti, Sabina na Kristeta, Salvio wa Amiens, Faro, Fransisko Serrano na wenzake, Yohane Dat, Roderiko Aguilar n.k.

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 28 Oktoba kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.