Sava wa Serbia
Sava wa Serbia (kwa Kiserbokroatia: Свети Сава / Sveti Sava; jina la awali: Растко Немањић/Rastko Nemanjić; 1174 – 14 Januari 1236), alikuwa mwana wa ukoo wa kitemi nchini Serbia ambaye alijifanya mmonaki katika Mlima Athos, akawa askofu mkuu wa kwanza wa Kanisa la Kiorthodoksi la Serbia (1219), mtunzi wa sheria za Serbia (Zakonopravilo), na mwanadiplomasia.
Kwa kufanya hivyo aliipatia nchi yake uhuru wa kisiasa na wa Kikanisa. Ndiyo maana anahesabiwa kati ya watu muhimu zaidi wa historia ya Serbia.
Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Tazama pia
Tanbihi
Vyanzo
- Matejić, Mateja (1976). Biography of Saint Sava. Kosovo.
- (Kiserbia)
- (Kiserbia)
- Stanojević, Stanoje (2008) [1989, 1935]. "Свети Сава" [Saint Sava]. Rastko. (Kiserbia)
Marejeo mengine
Viungo vya nje
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- Istorijska biblioteka: Sveti Sava (Kiserbia)
- Collected works (Kiserbia)
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz