Severino wa Agaune

Severino wa Agaune (430 hivi - Château-Landon, leo nchini Ufaransa, 507 hivi[1]) alikuwa abati wa monasteri ya Agaune, leo Saint-Maurice-en-Valais nchini Uswisi.[2].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 11 Februari[3].

Tazama pia

Tanbihi

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.