11 Februari

tarehe
Jan - Februari - Mac
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
29
Kalenda ya Gregori

Tarehe 11 Februari ni siku ya arubaini na mbili ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 323 (324 katika miaka mirefu).

Matukio

Waliozaliwa

Waliofariki

Sikukuu

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu ya Bikira Maria wa Lurdi, lakini pia za watakatifu Sotere wa Roma, Wafiadini wa Numidia, Kastrese, Sekondino wa Apulia, Severino wa Agaune, Papa Gregori II, Papa Paskali I, Ardani, Petro Maldonado n.k.

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 11 Februari kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.