Sirili IV wa Aleksandria

Sirili IV wa Aleksandria (1816 hivi- 31 Januari 1861) kuanzia mwaka 1854 hadi kifo chake alikuwa Patriarki wa 110 wa Aleksandria (Misri).

Anaheshimiwa na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu.

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

Viungo vya nje

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.