Stibi



Antimoni au Stibi (kutoka kigiriki stimmi/stibi na Kilatini stibium iliyotaja kampaundi ya elementi) ni nusumetali au metaloidi yenye namba atomia 51 katika mfumo radidia. Uzani atomia ni 121.760.

Stibi au Antimoni (stibium)
Alotropia ya kimetali ya stibi yenye rangi buluu-nyeupe
Alotropia ya kimetali ya stibi yenye rangi buluu-nyeupe
Jina la ElementiStibi au Antimoni (stibium)
AlamaSb
Namba atomia51
Mfululizo safuSimetali
Uzani atomia 121.760
Valensi2, 8, 18, 18, 5
Densiti6,697 g/cm³ kufuatana na alotropia zake
Ugumu (Mohs){{{ugumu}}}
Kiwango cha kuyeyuka903.78 K (630.63 °C)
Kiwango cha kuchemka1860 K (1587 °C)
Asilimia za ganda la dunia7 · 10-5 %
Hali maada mango
MengineyoStibi ni chaguo la jedwali ya elementi ya KAST, "wanja wa manga" hutajwa katika M-J SSE); lugha nyingi duniani hutumia neno antimon.

Kuna alotropia nne

Tabia

Elementi hutokea kwa alotropia nne na ile ya kawaida ni ya metaloidi yenye rangi buluu-nyeupe. Alotropia za rangi njano na nyeusi ni simetali tena si thabiti.

Matumizi

Matumizi yake ni katika rangi, madawa ya kuzuia moto, aloi nyingi na kutengeneza kompyuta.

Kihistoria kampaundi ya stibi (antimon) ilitumiwa kama wanja (kohl) yaani rangi ya upara.

Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Stibi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.