Torino








Torino ni mji wa Italia katika mkoa wa Piemonte. Ndio makao makuu ya mkoa.

Mji wa Torino

Bendera
NchiItalia
MkoaPiemonte
MkoaTorino
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 892 649
Tovuti:  www.comune.torino.it

Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka 2015, mji una wakazi wapatao 892,649 wanaoishi katika mji huu[1]. Mji upo m 240 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Mole Antonelliana, 17-03-2011

Marejeo

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu maeneo ya Italia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Torino kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.