Tukiko

Tukiko alikuwa Mkristo wa karne ya 1 kutoka mkoa wa Asia ambaye alimfuata Mtume Paulo katika baadhi ya safari zake, na ambaye anatajwa kwa sifa katika vitabu vitano vya Agano Jipya (Mdo 20:4; Ef 6:21-22; Kol 4:7; Tito 3:12; 2 Tim 4:12). Paulo mwenyewe anamuita "Ndugu mpendwa, mtumishi mwaminifu na mwenzi katika huduma ya Bwana"[1].

Mtume Paulo akiandika barua kwa Waefeso akiwa pamoja na Tukiko.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 29 Aprili[2][3].

Tazama pia

Tanbihi

Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tukiko kama habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.