Valladolid
Valladolid ? ni mji wa Hispania mwenye wakazi 316,564. Ni mji mkuu wa jimbo la Kastilia na Leon. Kihistoria ilikuwa kati ya miji mikuu ya kitaifa ya Hispania.
Mwaka 1469 wafalme Ferdinand II wa Aragon na Isabella I wa Kastilia walifunga ndoa kwa siri mjini Valladolid na kuunda umoja wa Hispania. Kristoforo Kolumbus aliaga dunia mjini mnamo 20 Mei 1506.
Kuna mto unaovuka mju na huu unaitwa Pisuerga.
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz