Vinsenti, Sabina na Kristeta

Vinsenti, Sabina na Kristeta (Talavera de la Reina, Hispania, karne ya 3 - Avila, Hispania, 304) walikuwa ndugu waliouawa pamoja katika dhuluma ya kaisari Dioklesyano dhidi ya Wakristo[1][2][3].

Wat. Vinsenti na dada zake walivyochorwa katika karne ya 16 wakiwa na Mt. Antoni wa Padua.

Heshima ya watu kwao kama watakatifu wafiadini ni ya zamani sana.

Sikukuu yao huadhimishwa kila mwaka tarehe 28 Oktoba[4].

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.