Walburga

Walburga (Devonshire, Wessex, Uingereza, 710 hivi – Heidenheim, Ujerumani, 25 Februari 779) alikuwa abesi Mbenedikto wa monasteri mbili, ya kike na ya kiume, katika Ujerumani ya leo, alipofuata kaka zake wamisionari wake wamisionari Wilibaldi na Winibaldi kwa ombi la askofu Bonifas mfiadini.[1][2].

Mt. Walburga alivyochorwa.

Anaheshimiwa tangu zamani kama mtakatifu, hasa baada ya kutangazwa na Papa Adriani II tarehe 1 Mei 870.

Sikukuu yake huadhimishwa katika tarehe ya kifo chake[3].

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.