25 Februari

tarehe
Jan - Februari - Mac
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
29
Kalenda ya Gregori

Tarehe 25 Februari ni siku ya hamsini na sita ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 309 (310 katika miaka mirefu).

Matukio

Waliozaliwa

Waliofariki

Sikukuu

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Nestori wa Magido, Aldetruda wa Maubeuge, Sesari wa Nazianzo, Walburga, Jerlando wa Agrigento, Laurenti Bai Xiaoman, Toribio Romo, Alois Versiglia, Kalisti Caravario n.k.

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 25 Februari kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.