Wamaya

Wamaya ni kundi la makabila ya Waindio wa Amerika ya Kati, hasa rasi ya Yucatan. Kwa sasa wako milioni 7 hivi katika nchi za Meksiko, Guatemala, Belize, Honduras na El Salvador.

Wasichana wa Guatemala wakiwa wamevaa nguo zao za kiutamaduni.

Ndio wajukuu wa watu waliostawisha ustaarabu wa Maya kuanzia mwaka 2000 KK hivi hadi uvamizi wa Wahispania (karne ya 16 na ya 17).

Tanbihi

Marejeo

Marejeo mengine

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu: