Wiliamu wa Bourges
Wiliamu wa Bourges (pia: Guillaume de Donjeon; 1140 hivi[1] – 10 Januari 1209) alikuwa padri ambaye alijiunga na umonaki wa Citeaux na baadaye alipata kuwa abati na hatimaye askofu mkuu wa Bourges kuanzia mwaka 1200 hadi kifo chake.
Alijulikana kwa kuwa na maisha magumu, kwa kuheshimu sana Ekaristi kwa kuwatendea huruma wakleri, wafungwa na fukara[2], tena kwa kuongoa wakosefu wengi, mbali ya miujiza iliyosemekana kutokea akiwa hai na kaburini mwake.
Alitangazwa na Papa Honori III kuwa mtakatifu tarehe 17 Mei 1218.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz