10 Januari

tarehe
Des - Januari - Feb
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031
Kalenda ya Gregori

Tarehe 10 Januari ni siku ya kumi ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 355 (356 katika miaka mirefu).

Matukio

Waliozaliwa

Waliofariki

Sikukuu

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Papa Miltiades, Paulo wa Tebe, Gregori wa Nisa, Yohane II wa Yerusalemu, Petronio wa Die, Machano wa Konstantinopoli, Valeri wa Limoges, Domisyano wa Melitene, Papa Agatho, Arkonsi wa Viviers, Petro Orseolo, Wiliamu wa Bourges, Fransiska wa Sales Aviat n.k.

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 10 Januari kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.