Wushu - (Kung Fu)

Wushu (/ˌwuːˈʃuː/), au Kungfu ya Kichina, ni mchezo wa upiganaji ulioanzishwa nchini China.[1][2] Jina "Wushu" linatokana na maneno ya Kichina (武 "Wu" = kijeshi, kwa Kiingereza military or martial, na 術 "Shu" = Sanaa, kwa Kiingereza arts).

Mashindano ya Wushu katika Shindano la 10 la mashindano yote ya Kichina.

Wushu umekuwa mchezo wa kimataifa kupitia Shiririkisho la Kimataifa la Wushu (IWUF - International Wushu Federation). Shirikisho hili ndilo huendeleza michezo ya kimataifa ya wushu kama vile Michuano ya Dunia ya Wushu inayofanyika kila baada ya miaka miwili tangu shindano la kwanza mwaka wa 1991 Beijing, China.

Historia

Wushu ina historia ndefu tangu 1949 wakati serikali ya China ilijaribu kuratibu michezo nchini.[3]

Mashindano ya Wushu

Mashindano makuu ya wushu ni kama vile:

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

Viungo vya Nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Wushu - (Kung Fu) kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.