Yohane Lloyd
Yohane Lloyd (alifia dini karibu na Cardiff, 22 Julai 1679) alikuwa padri mwanajimbo kutoka Wales 1645 - 22 Julai 1679) alikuwa padri Mjesuiti kutoka Wales aliyeuawa na serikali ya mfalme Charles II wa Uingereza iliyokuwa imekataza Ukatoliki nchini. Alinyongwa pamoja na Filipo Evans kwa sababu ya kutoa huduma za kipadri kwao [1].
Papa Pius XI alimtangaza mwenye heri mwaka 1929 halafu Papa Paulo VI akamtangaza mtakatifu tarehe 25 Oktoba 1970.[2].
Tazama pia
Tanbihi
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |
๐ฅ Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz